Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata...
Guardado en:
| Autores principales: | , |
|---|---|
| Formato: | Artículo |
| Lenguaje: | other |
| Publicado: |
Mwanga wa Lugha
2026
|
| Materias: | |
| Acceso en línea: | https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991 |
| Etiquetas: |
Agregar Etiqueta
Sin Etiquetas, Sea el primero en etiquetar este registro!
|
| _version_ | 1872791446943170560 |
|---|---|
| author | Duwe Martina Fuluge Adria |
| author_facet | Duwe Martina Fuluge Adria |
| author_sort | Duwe Martina |
| collection | DSpace |
| description | Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata baada ya kifo chake. Kwa msingi huo, urithishwaji wa mali ni hazina inayoendeleza kizazi na kuleta kumbukumbu idumuyo katika ulimwengu halisi wa mwanadamu. Fasihi ni akiso la maisha ya mwanadamu katika mazingira yake halisi. Kwa mantiki hiyo, bunilizi za Kiswahili huhifadhi na kudokeza misingi mbalimbali inayozingatiwa katika kuendesha maisha ya jamii. Mathalani, ile inayohusu suala la urithishwaji wa mali kupitia wahusika wanaosukwa kwa ustadi unaokidhi haja ya kufikisha maudhui lengwa. Hata hivyo, haijaelezwa bayana mitazamo ya Waafrika kuhusu suala la urithishwaji wa mali kwa kuhusianisha na bunilizi za Kiswahili. Hivyo basi, makala hii imeshughulikia jambo hilo kwa kujiegemeza katika riwaya za Rosa Mistika (1971) na Dunia Uwanja wa Fujo (1975). Makala hii ni matokeo ya data zilizopatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji. Vilevile, katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo hayo, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika. Matokeo yanaonesha kuwa katika suala la urithishwaji wa mali kwa Waafrika, kuna mitazamo mbalimbali inayozingatiwa. Makala hii inajadili mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni: mtazamo wa kitamaduni, kihiari, na kimabavu. |
| format | Article |
| id | ir-:123456789-1991 |
| institution | Mzumbe University |
| language | other |
| publishDate | 2026 |
| publisher | Mwanga wa Lugha |
| record_format | dspace |
| spelling | ir-:123456789-19912026-06-24T18:50:19Z Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili Duwe Martina Fuluge Adria Inheritance and succession — Africa Decedents' estates — Africa Mali za marehemu Customary law — Africa Sheria za kimila Wills — Africa Wosia Right of property — Africa Haki ya umiliki wa mali Inheritance and succession — Social aspects Mitazamo ya kijamii kuhusu urithi Inheritance and succession — Religious aspects Mitazamo ya kidini - Uislamu Ukristo Inheritance and succession — Women Haki za wanawake katika urithi African ethics Maadili ya Kiafrika yanayohusiana na ugawaji wa mali Bunilizi Urithi na Mali Urithishwaji Mali Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata baada ya kifo chake. Kwa msingi huo, urithishwaji wa mali ni hazina inayoendeleza kizazi na kuleta kumbukumbu idumuyo katika ulimwengu halisi wa mwanadamu. Fasihi ni akiso la maisha ya mwanadamu katika mazingira yake halisi. Kwa mantiki hiyo, bunilizi za Kiswahili huhifadhi na kudokeza misingi mbalimbali inayozingatiwa katika kuendesha maisha ya jamii. Mathalani, ile inayohusu suala la urithishwaji wa mali kupitia wahusika wanaosukwa kwa ustadi unaokidhi haja ya kufikisha maudhui lengwa. Hata hivyo, haijaelezwa bayana mitazamo ya Waafrika kuhusu suala la urithishwaji wa mali kwa kuhusianisha na bunilizi za Kiswahili. Hivyo basi, makala hii imeshughulikia jambo hilo kwa kujiegemeza katika riwaya za Rosa Mistika (1971) na Dunia Uwanja wa Fujo (1975). Makala hii ni matokeo ya data zilizopatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji. Vilevile, katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo hayo, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika. Matokeo yanaonesha kuwa katika suala la urithishwaji wa mali kwa Waafrika, kuna mitazamo mbalimbali inayozingatiwa. Makala hii inajadili mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni: mtazamo wa kitamaduni, kihiari, na kimabavu. Private 2026-05-12T07:43:09Z 2024 Article APA 2412-6993 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991 other application/pdf Mwanga wa Lugha |
| spellingShingle | Inheritance and succession — Africa Decedents' estates — Africa Mali za marehemu Customary law — Africa Sheria za kimila Wills — Africa Wosia Right of property — Africa Haki ya umiliki wa mali Inheritance and succession — Social aspects Mitazamo ya kijamii kuhusu urithi Inheritance and succession — Religious aspects Mitazamo ya kidini - Uislamu Ukristo Inheritance and succession — Women Haki za wanawake katika urithi African ethics Maadili ya Kiafrika yanayohusiana na ugawaji wa mali Bunilizi Urithi na Mali Urithishwaji Mali Duwe Martina Fuluge Adria Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili |
| title | Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili |
| title_full | Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili |
| title_fullStr | Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili |
| title_full_unstemmed | Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili |
| title_short | Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili |
| title_sort | mitazamo ya waafrika kuhusu urithishwaji wa mali uchunguzi wa bunilizi za kiswahili |
| topic | Inheritance and succession — Africa Decedents' estates — Africa Mali za marehemu Customary law — Africa Sheria za kimila Wills — Africa Wosia Right of property — Africa Haki ya umiliki wa mali Inheritance and succession — Social aspects Mitazamo ya kijamii kuhusu urithi Inheritance and succession — Religious aspects Mitazamo ya kidini - Uislamu Ukristo Inheritance and succession — Women Haki za wanawake katika urithi African ethics Maadili ya Kiafrika yanayohusiana na ugawaji wa mali Bunilizi Urithi na Mali Urithishwaji Mali |
| url | https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991 |
| work_keys_str_mv | AT duwemartina mitazamoyawaafrikakuhusuurithishwajiwamaliuchunguziwabunilizizakiswahili AT fulugeadria mitazamoyawaafrikakuhusuurithishwajiwamaliuchunguziwabunilizizakiswahili |