Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata...
Сохранить в:
| Главные авторы: | , |
|---|---|
| Формат: | Статья |
| Язык: | other |
| Опубликовано: |
Mwanga wa Lugha
2026
|
| Предметы: | |
| Online-ссылка: | https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991 |
| Метки: |
Добавить метку
Нет меток, Требуется 1-ая метка записи!
|