Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili

Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata...

Description complète

Enregistré dans:
Détails bibliographiques
Auteurs principaux: Duwe Martina, Fuluge Adria
Format: Article
Langue:other
Publié: Mwanga wa Lugha 2026
Sujets:
Accès en ligne:https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991
Tags: Ajouter un tag
Pas de tags, Soyez le premier à ajouter un tag!
_version_ 1872791446943170560
author Duwe Martina
Fuluge Adria
author_facet Duwe Martina
Fuluge Adria
author_sort Duwe Martina
collection DSpace
description Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata baada ya kifo chake. Kwa msingi huo, urithishwaji wa mali ni hazina inayoendeleza kizazi na kuleta kumbukumbu idumuyo katika ulimwengu halisi wa mwanadamu. Fasihi ni akiso la maisha ya mwanadamu katika mazingira yake halisi. Kwa mantiki hiyo, bunilizi za Kiswahili huhifadhi na kudokeza misingi mbalimbali inayozingatiwa katika kuendesha maisha ya jamii. Mathalani, ile inayohusu suala la urithishwaji wa mali kupitia wahusika wanaosukwa kwa ustadi unaokidhi haja ya kufikisha maudhui lengwa. Hata hivyo, haijaelezwa bayana mitazamo ya Waafrika kuhusu suala la urithishwaji wa mali kwa kuhusianisha na bunilizi za Kiswahili. Hivyo basi, makala hii imeshughulikia jambo hilo kwa kujiegemeza katika riwaya za Rosa Mistika (1971) na Dunia Uwanja wa Fujo (1975). Makala hii ni matokeo ya data zilizopatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji. Vilevile, katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo hayo, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika. Matokeo yanaonesha kuwa katika suala la urithishwaji wa mali kwa Waafrika, kuna mitazamo mbalimbali inayozingatiwa. Makala hii inajadili mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni: mtazamo wa kitamaduni, kihiari, na kimabavu.
format Article
id ir-:123456789-1991
institution Mzumbe University
language other
publishDate 2026
publisher Mwanga wa Lugha
record_format dspace
spelling ir-:123456789-19912026-06-24T18:50:19Z Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili Duwe Martina Fuluge Adria Inheritance and succession — Africa Decedents' estates — Africa Mali za marehemu Customary law — Africa Sheria za kimila Wills — Africa Wosia Right of property — Africa Haki ya umiliki wa mali Inheritance and succession — Social aspects Mitazamo ya kijamii kuhusu urithi Inheritance and succession — Religious aspects Mitazamo ya kidini - Uislamu Ukristo Inheritance and succession — Women Haki za wanawake katika urithi African ethics Maadili ya Kiafrika yanayohusiana na ugawaji wa mali Bunilizi Urithi na Mali Urithishwaji Mali Kurithisha mali katika jamii nyingi za Kiafrika ni suala linalohifadhi na kuendeleza utamaduni wa jamii. Hivyo, thamani ya mwanadamu katika ulimwengu wake hubainika pia kupitia mali anazorithisha wengine. Vilevile, kupitia mali hizo, mrithishaji anaendelea kuishi katika fikra za wanaorithishwa hata baada ya kifo chake. Kwa msingi huo, urithishwaji wa mali ni hazina inayoendeleza kizazi na kuleta kumbukumbu idumuyo katika ulimwengu halisi wa mwanadamu. Fasihi ni akiso la maisha ya mwanadamu katika mazingira yake halisi. Kwa mantiki hiyo, bunilizi za Kiswahili huhifadhi na kudokeza misingi mbalimbali inayozingatiwa katika kuendesha maisha ya jamii. Mathalani, ile inayohusu suala la urithishwaji wa mali kupitia wahusika wanaosukwa kwa ustadi unaokidhi haja ya kufikisha maudhui lengwa. Hata hivyo, haijaelezwa bayana mitazamo ya Waafrika kuhusu suala la urithishwaji wa mali kwa kuhusianisha na bunilizi za Kiswahili. Hivyo basi, makala hii imeshughulikia jambo hilo kwa kujiegemeza katika riwaya za Rosa Mistika (1971) na Dunia Uwanja wa Fujo (1975). Makala hii ni matokeo ya data zilizopatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji. Vilevile, katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo hayo, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika. Matokeo yanaonesha kuwa katika suala la urithishwaji wa mali kwa Waafrika, kuna mitazamo mbalimbali inayozingatiwa. Makala hii inajadili mitazamo mikuu mitatu, ambayo ni: mtazamo wa kitamaduni, kihiari, na kimabavu. Private 2026-05-12T07:43:09Z 2024 Article APA 2412-6993 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991 other application/pdf Mwanga wa Lugha
spellingShingle Inheritance and succession — Africa
Decedents' estates — Africa
Mali za marehemu
Customary law — Africa
Sheria za kimila
Wills — Africa
Wosia
Right of property — Africa
Haki ya umiliki wa mali
Inheritance and succession — Social aspects
Mitazamo ya kijamii kuhusu urithi
Inheritance and succession — Religious aspects
Mitazamo ya kidini - Uislamu
Ukristo
Inheritance and succession — Women
Haki za wanawake katika urithi
African ethics
Maadili ya Kiafrika yanayohusiana na ugawaji wa mali
Bunilizi
Urithi na Mali
Urithishwaji Mali
Duwe Martina
Fuluge Adria
Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
title Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
title_full Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
title_fullStr Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
title_full_unstemmed Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
title_short Mitazamo ya Waafrika kuhusu urithishwaji wa mali: Uchunguzi wa bunilizi za Kiswahili
title_sort mitazamo ya waafrika kuhusu urithishwaji wa mali uchunguzi wa bunilizi za kiswahili
topic Inheritance and succession — Africa
Decedents' estates — Africa
Mali za marehemu
Customary law — Africa
Sheria za kimila
Wills — Africa
Wosia
Right of property — Africa
Haki ya umiliki wa mali
Inheritance and succession — Social aspects
Mitazamo ya kijamii kuhusu urithi
Inheritance and succession — Religious aspects
Mitazamo ya kidini - Uislamu
Ukristo
Inheritance and succession — Women
Haki za wanawake katika urithi
African ethics
Maadili ya Kiafrika yanayohusiana na ugawaji wa mali
Bunilizi
Urithi na Mali
Urithishwaji Mali
url https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1991
work_keys_str_mv AT duwemartina mitazamoyawaafrikakuhusuurithishwajiwamaliuchunguziwabunilizizakiswahili
AT fulugeadria mitazamoyawaafrikakuhusuurithishwajiwamaliuchunguziwabunilizizakiswahili