Kifurushi Ikulu/

Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo...

Full description

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Makene, W.
Format: Book
Published: Dar es salaam : APE Network., c2023
Subjects:
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
Description
Summary:Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo wa kifurushi kwenye bustani ya Ikulu. Ujio wa kifurushi unazua kizaazaa kwa kuanika usaliti, chuki, fitna, hadaa, visasi n.k." -- back cover
Physical Description:vii , 203p. : 20cm.
ISBN:9789976583526