Kifurushi Ikulu/

Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo...

ver descrição completa

Na minha lista:
Detalhes bibliográficos
Autor principal: Makene, W.
Formato: Livro
Publicado em: Dar es salaam : APE Network., c2023
Assuntos:
Tags: Adicionar Tag
Sem tags, seja o primeiro a adicionar uma tag!
Descrição
Resumo:Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo wa kifurushi kwenye bustani ya Ikulu. Ujio wa kifurushi unazua kizaazaa kwa kuanika usaliti, chuki, fitna, hadaa, visasi n.k." -- back cover
Descrição Física:vii , 203p. : 20cm.
ISBN:9789976583526