Kifurushi Ikulu/

Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo...

Descrizione completa

Salvato in:
Dettagli Bibliografici
Autore principale: Makene, W.
Natura: Libro
Pubblicazione: Dar es salaam : APE Network., c2023
Soggetti:
Tags: Aggiungi Tag
Nessun Tag, puoi essere il primo ad aggiungerne!!
Descrizione
Riassunto:Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo wa kifurushi kwenye bustani ya Ikulu. Ujio wa kifurushi unazua kizaazaa kwa kuanika usaliti, chuki, fitna, hadaa, visasi n.k." -- back cover
Descrizione fisica:vii , 203p. : 20cm.
ISBN:9789976583526