Kifurushi Ikulu/
Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo...
Enregistré dans:
| Auteur principal: | |
|---|---|
| Format: | Livre |
| Publié: |
Dar es salaam :
APE Network.,
c2023
|
| Sujets: | |
| Tags: |
Ajouter un tag
Pas de tags, Soyez le premier à ajouter un tag!
|
| Résumé: | Rais Razak Wakil wa nchi ya Sirini anapata misukosuko ya kiusalama toka kwa genge lisilojulikana. Kwa kushirikiana na msaidizi wake, Koreshi Masufi, wanaamua kumtuma mjumbe wa siri kutafuta chanzo cha tatizo. Kabla ya kupata ufumbuzi, na katika hali ya kushangaza, Rais Wakil anapata taarifa za uwepo wa kifurushi kwenye bustani ya Ikulu. Ujio wa kifurushi unazua kizaazaa kwa kuanika usaliti, chuki, fitna, hadaa, visasi n.k." -- back cover |
|---|---|
| Description matérielle: | vii , 203p. : 20cm. |
| ISBN: | 9789976583526 |