Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni

Makala iliowasilishwa na kuchapishwa kwenye Jarida la CHALUFAKITA mwaka 2020, Juz. No. 2

Guardado en:
Detalles Bibliográficos
Autor principal: Duwe, Martina
Formato: Artículo
Publicado: CHALUFAKITA 2020, JUZ. NA. 2 2024
Materias:
Acceso en línea:https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1448
Etiquetas: Agregar Etiqueta
Sin Etiquetas, Sea el primero en etiquetar este registro!
_version_ 1835205596934045696
author Duwe, Martina
author_facet Duwe, Martina
author_sort Duwe, Martina
collection DSpace
description Makala iliowasilishwa na kuchapishwa kwenye Jarida la CHALUFAKITA mwaka 2020, Juz. No. 2
format Article
id oai:null:123456789-1448
institution Mzumbe University
publishDate 2024
publisher CHALUFAKITA 2020, JUZ. NA. 2
record_format dspace
spelling oai:null:123456789-14482024-10-15T10:35:25Z Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni Duwe, Martina Eskatologia Wangoni Usawiri wa Eskatologia Mbolezi Mizimu ya Wangoni Tanzania Makala iliowasilishwa na kuchapishwa kwenye Jarida la CHALUFAKITA mwaka 2020, Juz. No. 2 Eskatolojia ni kipengele kimojawapo kinachodhihirisha falsafa ya jamii za Waafrika kulingana na mila na desturi zao. Tafiti nyingi zilizofanywa kuhusu dhana hii zimejiegemeza katika muktadha wa kiteolojia. Baadhi ya tafiti hizo ni zile zilizofanywa na Baloyi (2008) na Lup (2013). Licha ya kuwapo kwa tafiti hizo, dhana ya eskatolojia ya Waafrika hususani fasihi simulizi za jamii ya Wangoni bado haijamakinikiwa ipasavyo. Aidha, ni wazi kwamba fasihi simulizi ni fasihi inayobeba na kuibua maarifa ya kifalsafa yanayoisawiri jamii husika kulingana na kaida zao. Kwa mantiki hiyo, makala hii inajadili usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika kipera cha mbolezi hususani za jamii ya Wangoni ili kubainisha maarifa yanayobebwa katika kipera hicho. Makala hii ni matokeo ya utafiti uliofanyika kwa kutumia mbinu ya ushuhudiaji shirikishi katika matukio yanayoambatana na suala la kifo na mahojiano ya ana kwa ana na baadhi ya Wangoni katika mazingira yao halisi. Data zimechanganuliwa kwa njia ya maelezo. Data hizo zinaonesha kuwapo kwa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za jamii hiyo. Hata hivyo, makala hii inajadili vipengele muhimu vitatu tu ambavyo ni: kuamini katika uwepo wa Mungu, mwendelezo wa maisha baada ya kifo na nguvu za waliokufa (mizimu). Nil 2024-10-15T06:03:08Z 2024-10-15T06:03:08Z 2020 Article APA eISSN: 2591-7013 print ISSN: 2665-0789 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1448 application/pdf CHALUFAKITA 2020, JUZ. NA. 2
spellingShingle Eskatologia
Wangoni
Usawiri wa Eskatologia
Mbolezi
Mizimu ya Wangoni
Tanzania
Duwe, Martina
Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni
title Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni
title_full Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni
title_fullStr Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni
title_full_unstemmed Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni
title_short Usawiri wa eskatolojia ya Waafrika katika mbolezi za Wangoni
title_sort usawiri wa eskatolojia ya waafrika katika mbolezi za wangoni
topic Eskatologia
Wangoni
Usawiri wa Eskatologia
Mbolezi
Mizimu ya Wangoni
Tanzania
url https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1448
work_keys_str_mv AT duwemartina usawiriwaeskatolojiayawaafrikakatikambolezizawangoni