Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa

Paper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)

Saved in:
Bibliographic Details
Main Author: Duwe, Martina
Format: Article
Published: Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS) 2024
Subjects:
Online Access:https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449
Tags: Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
_version_ 1820347765346009088
author Duwe, Martina
author_facet Duwe, Martina
author_sort Duwe, Martina
collection DSpace
description Paper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
format Article
id oai:41.59.85.69:123456789-1449
institution Mzumbe University
publishDate 2024
publisher Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
record_format dspace
spelling oai:41.59.85.69:123456789-14492024-10-15T06:25:19Z Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa Duwe, Martina Falsafa Fasihi Hatima Kifo na Mitazamo ya Waafrika Bunilizi za Kiswahili Mwegamo wa Kifalsafa Hatima ya Maisha kwaWaafrika Paper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS) Makala hii imefafanua sababu za hatima ya maisha ya mwanadamu kulingana na fikra za Waafrika kwa kurejelea riwaya za Utengano (1980) na Tata za Asumini (1990). Data za msingi zilizofafanuliwa katika makala hii zimepatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji makini. Nadharia ya Udhanaishi imetumika kama mwegamo muhimu katika uchambuzi na mjadala wa data zilizowasilishwa katika katika utafiti uliofanyika. Matokeo yanaonesha kuwa utajiri wa maarifa yaliyomo ndani riwaya teule husawiri maudhui na fikra halisi za Waafrika kulingana na tamaduni zao. Fikra hizo hudhihirisha falsafa inayotawala maisha yao. Pia, hubainisha sababu mbalimbali za hatima ya mwanadamu kulingana na mitazamo ya Waafrika. Kifo ni miongoni mwa sababu zilizobainika wazi katika riwaya teule kuwa kinasababishwa na maamuzi ya Mungu, maovu ya mwanadamu mwenyewe na watu wanaomzunguka katika mazingira yake halisi; na namna Waafrika wanavyofikiri juu ya sababu za hatima ya maisha yao. Mwandishi anayaonesha haya ili kudhihirisha uhalisi wa fikra za jamii yake kama sampuli ya jamii za Kiafrika. Makala hii inahitimisha kuwa fasihi andishi inahifadhi na kuonesha maarifa yanayoisawiri jamii husika. Nil 2024-10-15T06:25:14Z 2024-10-15T06:25:14Z 2021 Article APA https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449 application/pdf Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
spellingShingle Falsafa
Fasihi
Hatima
Kifo na Mitazamo ya Waafrika
Bunilizi za Kiswahili
Mwegamo wa Kifalsafa
Hatima ya Maisha kwaWaafrika
Duwe, Martina
Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
title Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
title_full Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
title_fullStr Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
title_full_unstemmed Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
title_short Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
title_sort hatima ya maisha ya waafrika katika bunilizi za kiswahili mwegamo wa kifalsafa
topic Falsafa
Fasihi
Hatima
Kifo na Mitazamo ya Waafrika
Bunilizi za Kiswahili
Mwegamo wa Kifalsafa
Hatima ya Maisha kwaWaafrika
url https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449
work_keys_str_mv AT duwemartina hatimayamaishayawaafrikakatikabunilizizakiswahilimwegamowakifalsafa