Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa
Paper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
Saved in:
Main Author: | |
---|---|
Format: | Article |
Published: |
Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS)
2024
|
Subjects: | |
Online Access: | https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449 |
Tags: |
Add Tag
No Tags, Be the first to tag this record!
|
_version_ | 1820347765346009088 |
---|---|
author | Duwe, Martina |
author_facet | Duwe, Martina |
author_sort | Duwe, Martina |
collection | DSpace |
description | Paper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS) |
format | Article |
id | oai:41.59.85.69:123456789-1449 |
institution | Mzumbe University |
publishDate | 2024 |
publisher | Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS) |
record_format | dspace |
spelling | oai:41.59.85.69:123456789-14492024-10-15T06:25:19Z Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa Duwe, Martina Falsafa Fasihi Hatima Kifo na Mitazamo ya Waafrika Bunilizi za Kiswahili Mwegamo wa Kifalsafa Hatima ya Maisha kwaWaafrika Paper submitted to the Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS) Makala hii imefafanua sababu za hatima ya maisha ya mwanadamu kulingana na fikra za Waafrika kwa kurejelea riwaya za Utengano (1980) na Tata za Asumini (1990). Data za msingi zilizofafanuliwa katika makala hii zimepatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji makini. Nadharia ya Udhanaishi imetumika kama mwegamo muhimu katika uchambuzi na mjadala wa data zilizowasilishwa katika katika utafiti uliofanyika. Matokeo yanaonesha kuwa utajiri wa maarifa yaliyomo ndani riwaya teule husawiri maudhui na fikra halisi za Waafrika kulingana na tamaduni zao. Fikra hizo hudhihirisha falsafa inayotawala maisha yao. Pia, hubainisha sababu mbalimbali za hatima ya mwanadamu kulingana na mitazamo ya Waafrika. Kifo ni miongoni mwa sababu zilizobainika wazi katika riwaya teule kuwa kinasababishwa na maamuzi ya Mungu, maovu ya mwanadamu mwenyewe na watu wanaomzunguka katika mazingira yake halisi; na namna Waafrika wanavyofikiri juu ya sababu za hatima ya maisha yao. Mwandishi anayaonesha haya ili kudhihirisha uhalisi wa fikra za jamii yake kama sampuli ya jamii za Kiafrika. Makala hii inahitimisha kuwa fasihi andishi inahifadhi na kuonesha maarifa yanayoisawiri jamii husika. Nil 2024-10-15T06:25:14Z 2024-10-15T06:25:14Z 2021 Article APA https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449 application/pdf Ruaha Journal of Arts and Social Sciences (RUJASS) |
spellingShingle | Falsafa Fasihi Hatima Kifo na Mitazamo ya Waafrika Bunilizi za Kiswahili Mwegamo wa Kifalsafa Hatima ya Maisha kwaWaafrika Duwe, Martina Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa |
title | Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa |
title_full | Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa |
title_fullStr | Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa |
title_full_unstemmed | Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa |
title_short | Hatima ya maisha ya Waafrika katika Bunilizi za Kiswahili: Mwegamo wa kifalsafa |
title_sort | hatima ya maisha ya waafrika katika bunilizi za kiswahili mwegamo wa kifalsafa |
topic | Falsafa Fasihi Hatima Kifo na Mitazamo ya Waafrika Bunilizi za Kiswahili Mwegamo wa Kifalsafa Hatima ya Maisha kwaWaafrika |
url | https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1449 |
work_keys_str_mv | AT duwemartina hatimayamaishayawaafrikakatikabunilizizakiswahilimwegamowakifalsafa |