Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu

Makala iliyowasilishwa katika Kongamano la Pili la Kitaifa kuhusu Kuboresha Utoaji wa Huduma za Maktaba na Habari nchini Tanzania, Kukuza Usomaji kwa Watoto na Maonyesho ya Vitabu yaliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 24 Novemba 2022 katika Hoteli ya Tanga Beach Resort na SPA. Mada: Mchango wa Huduma...

Descrizione completa

Salvato in:
Dettagli Bibliografici
Autore principale: Mosha, Goodluck E.
Natura: Articolo
Lingua:other
Pubblicazione: Tanzania Library Service Board (TLSB) 2024
Soggetti:
Accesso online:https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1185
Tags: Aggiungi Tag
Nessun Tag, puoi essere il primo ad aggiungerne!!
_version_ 1820347766052749312
author Mosha, Goodluck E.
author_facet Mosha, Goodluck E.
author_sort Mosha, Goodluck E.
collection DSpace
description Makala iliyowasilishwa katika Kongamano la Pili la Kitaifa kuhusu Kuboresha Utoaji wa Huduma za Maktaba na Habari nchini Tanzania, Kukuza Usomaji kwa Watoto na Maonyesho ya Vitabu yaliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 24 Novemba 2022 katika Hoteli ya Tanga Beach Resort na SPA. Mada: Mchango wa Huduma za Maktaba, Utunzaji wa Nyaraka na Mafunzo ya Ukutubi katika Uboreshaji wa Elimu Tanzania.
format Article
id oai:41.59.85.69:123456789-1185
institution Mzumbe University
language other
publishDate 2024
publisher Tanzania Library Service Board (TLSB)
record_format dspace
spelling oai:41.59.85.69:123456789-11852024-11-25T11:46:21Z Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu Mosha, Goodluck E. Elimu na Maktaba – Tanzania Maktaba za Vijijini Mpango wa Elimu ya Watu Wazima – Tanzania Maktaba za Shule – Tanzania Huduma ya Maktaba Maktaba na Sekta ya Elimu Maktaba na Mabadiliko ya Elimu – Tanzania Maktaba za kidigiti Makala iliyowasilishwa katika Kongamano la Pili la Kitaifa kuhusu Kuboresha Utoaji wa Huduma za Maktaba na Habari nchini Tanzania, Kukuza Usomaji kwa Watoto na Maonyesho ya Vitabu yaliyofanyika kuanzia tarehe 23 hadi 24 Novemba 2022 katika Hoteli ya Tanga Beach Resort na SPA. Mada: Mchango wa Huduma za Maktaba, Utunzaji wa Nyaraka na Mafunzo ya Ukutubi katika Uboreshaji wa Elimu Tanzania. Sekta ya elimu ni msingi wa maendeleo ya taifa, inatoa mchango na nguvu na ya kuboresha maisha ya watu. Elimu ni haki ya msingi kwa kila mtu. Maktaba na elimu ni dhana zisizotenganishwa; maktaba ni sehemu muhimu ya taasisi za elimu, zikichangia katika kujisomea na utafiti. Utafiti umebainisha kuwa maktaba ni muhimu katika kuimarisha hamu (reading passion) ya kusoma na kuongeza ujuzi wa wanafunzi. Mwongozo wa Viwango na Sheria ya Elimu ya Vyuo Vikuu Tanzania unaweka viwango vya maktaba kwa vyuo vikuu ili kuhakikisha ubora wa elimu. Katika miaka ya 1970, Tanzania ilianzisha maktaba za vijijini kusaidia Elimu ya Watu Wazima na kuongeza kiwango cha kusoma na kuandika. Hata hivyo, kiwango cha elimu kimeshuka tangu miaka ya 1990 kutokana na changamoto kama ukosefu wa wakutubi wenye ujuzi, bajeti pungufu, na ukosefu wa maktaba za kisasa. Ili kuboresha elimu, huduma ya maktaba shuleni inapaswa kupewa kipaumbele. Maktaba zinahitaji bajeti ya kutosha, vitabu vya kisasa, na teknolojia ya kidigitali. Pia, maktaba zishirikiane na wadau wengine na kutumia mitandao ya kijamii kuwafikia watumiaji hususani wanafunzi. Maktaba ni muhimu kwa kila mkakati wa kisomo, elimu, na maendeleo ya kijamii. Zinaweza kuwa sehemu ya uvumbuzi wa maarifa na kutoa huduma zinazolenga mahitaji ya watumiaji. Kuwa na maktaba bora kutasaidia kuboresha elimu na maendeleo ya taifa kwa ujumla. Tanzania Library Service Board 2024-09-05T09:47:22Z 2024-09-05T09:47:22Z 2022-11-24 Article APA https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1185 other application/pdf Tanzania Library Service Board (TLSB)
spellingShingle Elimu na Maktaba – Tanzania
Maktaba za Vijijini
Mpango wa Elimu ya Watu Wazima – Tanzania
Maktaba za Shule – Tanzania
Huduma ya Maktaba
Maktaba na Sekta ya Elimu
Maktaba na Mabadiliko ya Elimu – Tanzania
Maktaba za kidigiti
Mosha, Goodluck E.
Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu
title Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu
title_full Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu
title_fullStr Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu
title_full_unstemmed Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu
title_short Majukumu ya msingi ya Maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini Tanzania: Uchunguzi yakinifu
title_sort majukumu ya msingi ya maktaba katika kuleta mabadiliko kwenye sekta ya elimu nchini tanzania uchunguzi yakinifu
topic Elimu na Maktaba – Tanzania
Maktaba za Vijijini
Mpango wa Elimu ya Watu Wazima – Tanzania
Maktaba za Shule – Tanzania
Huduma ya Maktaba
Maktaba na Sekta ya Elimu
Maktaba na Mabadiliko ya Elimu – Tanzania
Maktaba za kidigiti
url https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1185
work_keys_str_mv AT moshagoodlucke majukumuyamsingiyamaktabakatikakuletamabadilikokwenyesektayaelimunchinitanzaniauchunguziyakinifu