Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)

Paper submitted to the" Journal of Kiswahili and Other African Languages" for publication

Salvato in:
Dettagli Bibliografici
Autori principali: Fuluge, Adria, Duwe, Martina
Natura: Articolo
Lingua:inglese
Pubblicazione: Journal of Kiswahili and Other African Languages 2026
Soggetti:
Accesso online:https://doi.org/10.58721/jkal.v3i2.1413
https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/2185
Tags: Aggiungi Tag
Nessun Tag, puoi essere il primo ad aggiungerne!!
_version_ 1872791450211581952
author Fuluge, Adria
Duwe, Martina
author_facet Fuluge, Adria
Duwe, Martina
author_sort Fuluge, Adria
collection DSpace
description Paper submitted to the" Journal of Kiswahili and Other African Languages" for publication
format Article
id ir-:123456789-2185
institution Mzumbe University
language English
publishDate 2026
publisher Journal of Kiswahili and Other African Languages
record_format dspace
spelling ir-:123456789-21852026-07-13T22:00:25Z Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004) Fuluge, Adria Duwe, Martina Tohara — Afrika Tohara — Vipengele vya kijamii Fasihi ya Kiswahili — Historia na uhakiki Riwaya ya Kiswahili — Historia na uhakiki Wahusika na sifa zao katika fasihi Sosholojia ya fasihi Fasihi na jamii Afrika — Mila na desturi. Circumcision — Africa Circumcision — Social aspects Swahili literature — History and criticism Swahili fiction — History and criticism Characters and characteristics in literature Sociology of literature Literature and society Africa — Social life and customs Paper submitted to the" Journal of Kiswahili and Other African Languages" for publication Katika jamii nyingi za Kiafrika, tohara ni mchakato wenye thamani na tija kubwa kwa baadhi ya makabila, husuani kwa kijana wa kiume. Katika makabila hayo, asiyetahiriwa huonekana kuwa bado ni mtoto na hajakomaa kifikra na kiutu, ambapo huweza hata kutengwa katika kushirikishwa baadhi ya masuala ya kijamii. Kijana huyo kama umri wake ni mkubwa, huweza kudharauliwa na rika lake na hata waliopo chini yake. Sambamba na hilo, katika maisha halisi ya Waafrika, tohara huchukuliwa kwa thamani inayoweza kuendeleza na kuhifadhi utambulisho wa kitamaduni na kijamii. Kwao, tohara humfanya mtu atambulike kwa namna tofauti na ilivyokuwa awali. Kwa jumla, thamani ya tohara kwa Waafrika ni suala lililowashughulisha wataalamu wengi. Hata hivyo, pamoja na kuwepo kwa tafiti nyingi kuhusu tohara kwa Waafrika, bado tija za tohara kwa kufungamanisha na fasihi andishi haijamakinikiwa kwa umahususi wake. Kwa hiyo, makala hii inashughulikia jambo hilo kwa kumrejelea mhusika Omolo kutoka riwaya ya Ua la Faraja (2004). Data za matokeo haya zilipatikana maktabani kwa kutumia mbinu ya usomaji matini. Vilevile, misingi ya Nadharia ya Sosholojia ya Kifasihi imetumika katika mchakato wa kuchunguza, kuchanganua, na kuwasilisha data zilizozaa matokeo hayo. Mjadala unaonesha kwamba tohara katika maisha ya Waafrika ina tija mbalimbali kulingana na utoshelevu wa kaida zao. Makala hii inajadili tija nne; nazo ni: Kudumisha mila, kuleta heshima kwa mhusika, kujikinga na magonjwa, na kujenga ujasiri na ukakamavu. Private 2026-07-13T06:56:42Z 2025 Article APA (Online): 2958-4914 https://doi.org/10.58721/jkal.v3i2.1413 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/2185 en application/pdf Journal of Kiswahili and Other African Languages
spellingShingle Tohara — Afrika
Tohara — Vipengele vya kijamii
Fasihi ya Kiswahili — Historia na uhakiki
Riwaya ya Kiswahili — Historia na uhakiki
Wahusika na sifa zao katika fasihi
Sosholojia ya fasihi
Fasihi na jamii
Afrika — Mila na desturi.
Circumcision — Africa
Circumcision — Social aspects
Swahili literature — History and criticism
Swahili fiction — History and criticism
Characters and characteristics in literature
Sociology of literature
Literature and society
Africa — Social life and customs
Fuluge, Adria
Duwe, Martina
Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)
title Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)
title_full Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)
title_fullStr Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)
title_full_unstemmed Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)
title_short Tija za tohara kwa jamii za Kiafrika: Uchunguzi wa mhusika Omolo katika riwaya ya ua la faraja (2004)
title_sort tija za tohara kwa jamii za kiafrika uchunguzi wa mhusika omolo katika riwaya ya ua la faraja 2004
topic Tohara — Afrika
Tohara — Vipengele vya kijamii
Fasihi ya Kiswahili — Historia na uhakiki
Riwaya ya Kiswahili — Historia na uhakiki
Wahusika na sifa zao katika fasihi
Sosholojia ya fasihi
Fasihi na jamii
Afrika — Mila na desturi.
Circumcision — Africa
Circumcision — Social aspects
Swahili literature — History and criticism
Swahili fiction — History and criticism
Characters and characteristics in literature
Sociology of literature
Literature and society
Africa — Social life and customs
url https://doi.org/10.58721/jkal.v3i2.1413
https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/2185
work_keys_str_mv AT fulugeadria tijazatoharakwajamiizakiafrikauchunguziwamhusikaomolokatikariwayayaualafaraja2004
AT duwemartina tijazatoharakwajamiizakiafrikauchunguziwamhusikaomolokatikariwayayaualafaraja2004