Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji
Paper submitted to the " Journal of Kiswahili and Other African Languages " for publication purposes
Salvato in:
| Autore principale: | |
|---|---|
| Natura: | Articolo |
| Lingua: | other |
| Pubblicazione: |
Journal of Kiswahili and Other African Languages
2026
|
| Soggetti: | |
| Accesso online: | https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.548 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1950 |
| Tags: |
Aggiungi Tag
Nessun Tag, puoi essere il primo ad aggiungerne!!
|
| _version_ | 1872791446132621312 |
|---|---|
| author | Fuluge, Adria |
| author_facet | Fuluge, Adria |
| author_sort | Fuluge, Adria |
| collection | DSpace |
| description | Paper submitted to the " Journal of Kiswahili and Other African Languages " for publication purposes |
| format | Article |
| id | ir-:123456789-1950 |
| institution | Mzumbe University |
| language | other |
| publishDate | 2026 |
| publisher | Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| record_format | dspace |
| spelling | ir-:123456789-19502026-06-24T18:49:29Z Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji Fuluge, Adria Kujiua (Suicide) - Tanzania bwege Viashiria Nadharia ya Udhanaishi Euphrase Kezilahabi Viashiria vya kujiua (Suicidal indicators) Kichwamaji Mhusika Kazimoto Riwaya ya Kiswahili Saikolojia katika Fasihi Fasihi ya Kiswahili — Uhakiki na Uchunguzi (Swahili literature — History and criticism) Kujiua katika Fasihi (Suicide in literature) Saikolojia na Fasihi (Psychology and literature) Maadili na Jamii katika Fasihi ya Kiswahili. Paper submitted to the " Journal of Kiswahili and Other African Languages " for publication purposes Wahusika katika kazi za fasihi huumbwa kwa ustadi mkubwa kwa lengo la kubeba tafakuri na fikra za mtunzi kuhusu maisha ya jamii. Katika uumbaji huo, aghalabu, binadamu husawiriwa kama kiumbe anayeteseka na anayeishi katika ulimwengu usiomjali, aliyezungukwa na mateso na ubwege1, na anayeshindwa kukabiliana vyema na uhalisia wake (Wamitila, 2002). Mambo hayo, ndiyo huweza kusababisha afanye maamuzi fulani kama vile kujiua. Hivi ndivyo anavyofanya Euphrase Kezilahabi katika riwaya ya Kichwamaji (1974) anapomuumba mhusika anayejiua.Hata hivyo, kwa kuwa kujiua huambatana na viashiria mbalimbali, makala haya yanajadili viashiria vya kujiua kwa mhusika mkuu katika riwaya teule tu. Riwaya hiyo imeteuliwa kwa sababu ina mawanda ya kutosha yaliyowezesha kupata data zilizolengwa katika makala haya. Pia, riwaya hiyo imeteuliwa kama sampuli ya kuwakilisha riwaya nyingine zenye viashiria vya kujiua. Misingi ya Nadharia ya Udhanaishi imetumika katika uchunguzi, uchanganuzi na uwasilishaji wa matokeo. Data zilikusanywa kwa kutumia mbinu ya uchambuzi wa matini. Mjadala umebainisha kwamba katika riwaya ya Kichwamaji vipo viashiria vinne vya kujiua vilivyomkumba Kazimoto kabla ya kujiua kwake. Viashiria hivyo ni kukata tamaa, kujitenga kijamii, kuzungumzia masuala ya kujiua na mabadiliko ya tabia. Makala yanahitimisha kwamba jamii inahitaji kupewa elimu ya kutosha kuhusu kujiua kwa wahusika pamoja na viashiria vyake ili iweze kumtambua na kumsaidia mtu mwenye viashiria vya kujiua. Private 2026-04-13T11:10:39Z 2024 Article APA Online): 2958-4914 https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.548 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1950 other application/pdf Journal of Kiswahili and Other African Languages |
| spellingShingle | Kujiua (Suicide) - Tanzania bwege Viashiria Nadharia ya Udhanaishi Euphrase Kezilahabi Viashiria vya kujiua (Suicidal indicators) Kichwamaji Mhusika Kazimoto Riwaya ya Kiswahili Saikolojia katika Fasihi Fasihi ya Kiswahili — Uhakiki na Uchunguzi (Swahili literature — History and criticism) Kujiua katika Fasihi (Suicide in literature) Saikolojia na Fasihi (Psychology and literature) Maadili na Jamii katika Fasihi ya Kiswahili. Fuluge, Adria Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| title | Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| title_full | Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| title_fullStr | Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| title_full_unstemmed | Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| title_short | Viashiria vya kujiua: Uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| title_sort | viashiria vya kujiua uchunguzi wa mhusika kazimoto katika riwaya ya kichwamaji |
| topic | Kujiua (Suicide) - Tanzania bwege Viashiria Nadharia ya Udhanaishi Euphrase Kezilahabi Viashiria vya kujiua (Suicidal indicators) Kichwamaji Mhusika Kazimoto Riwaya ya Kiswahili Saikolojia katika Fasihi Fasihi ya Kiswahili — Uhakiki na Uchunguzi (Swahili literature — History and criticism) Kujiua katika Fasihi (Suicide in literature) Saikolojia na Fasihi (Psychology and literature) Maadili na Jamii katika Fasihi ya Kiswahili. |
| url | https://doi.org/10.58721/jkal.v2i1.548 https://scholar.mzumbe.ac.tz/handle/123456789/1950 |
| work_keys_str_mv | AT fulugeadria viashiriavyakujiuauchunguziwamhusikakazimotokatikariwayayakichwamaji |